Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 5 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿وَٱلۡأَنۡعَٰمَ خَلَقَهَاۖ لَكُمۡ فِيهَا دِفۡءٞ وَمَنَٰفِعُ وَمِنۡهَا تَأۡكُلُونَ ﴾
[النَّحل: 5]
﴿والأنعام خلقها لكم فيها دفء ومنافع ومنها تأكلون﴾ [النَّحل: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wanyama miongoni mwa ngamia, ng’ombe na mbuzi, Mwenyezi Mungu Amewaumbia, enyi watu, na akajaalia joto katika sufi na manyoa yake, na manufaa mengine katika maziwa yake na ngozi zake na kuwatumia kwa kuwapanda na, wengine miongoni mwao, kuwala |