Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 6 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿وَلَكُمۡ فِيهَا جَمَالٌ حِينَ تُرِيحُونَ وَحِينَ تَسۡرَحُونَ ﴾
[النَّحل: 6]
﴿ولكم فيها جمال حين تريحون وحين تسرحون﴾ [النَّحل: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na muna, kwa wanyama hao, pambo linaloingiza furaha kwenu, pindi mnapowarudisha kwenye mazizi yao jioni na pindi mnapowatoa kukicha kuwapeleka malishoni |