×

Na Mwenyezi Mungu amekutoeni matumboni mwa mama zenu, hali ya kuwa hamjui 16:78 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:78) ayat 78 in Swahili

16:78 Surah An-Nahl ayat 78 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 78 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿وَٱللَّهُ أَخۡرَجَكُم مِّنۢ بُطُونِ أُمَّهَٰتِكُمۡ لَا تَعۡلَمُونَ شَيۡـٔٗا وَجَعَلَ لَكُمُ ٱلسَّمۡعَ وَٱلۡأَبۡصَٰرَ وَٱلۡأَفۡـِٔدَةَ لَعَلَّكُمۡ تَشۡكُرُونَ ﴾
[النَّحل: 78]

Na Mwenyezi Mungu amekutoeni matumboni mwa mama zenu, hali ya kuwa hamjui kitu, na amekujaalieni masikio na macho na nyoyo ili mpate kushukuru

❮ Previous Next ❯

ترجمة: والله أخرجكم من بطون أمهاتكم لا تعلمون شيئا وجعل لكم السمع والأبصار, باللغة السواحيلية

﴿والله أخرجكم من بطون أمهاتكم لا تعلمون شيئا وجعل لكم السمع والأبصار﴾ [النَّحل: 78]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Mwenyezi Mungu , Aliyetakata na kutukuka, Amewatoa nyinyi kutoka kwenye matumbo ya mama zenu baada ya kipindi cha mimba, hali hamtambui chochote kilichoko pambizoni mwenu, na akawapatia sababu za kutambua miongoni mwa mashikio ya kusikia na macho ya kuonea na nyoyo, huenda nyiyi mkamshukuru Mwenyezi Mungu Aliyetukuka kwa neema hizo na mukampwekesha, Aliyeshinda na kutukuka, kwa ibada
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek