Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 106 - الإسرَاء - Page - Juz 15
﴿وَقُرۡءَانٗا فَرَقۡنَٰهُ لِتَقۡرَأَهُۥ عَلَى ٱلنَّاسِ عَلَىٰ مُكۡثٖ وَنَزَّلۡنَٰهُ تَنزِيلٗا ﴾
[الإسرَاء: 106]
﴿وقرآنا فرقناه لتقرأه على الناس على مكث ونـزلناه تنـزيلا﴾ [الإسرَاء: 106]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tumekuteremshia, ewe Mtume, Qur’ani tuliyoieleza, tukaipanga na kuifafanua ikawa ni yenye kutenganisha baina ya uongofu na upotevu na ukweli na ubatilifu, ili upate kuwasomea watu kwa umakinifu na upole; na tumeiteremsha mafungu-mafungu kidogo-kidogo kulingana na matukio ya wakati na mahitaji yake |