×

Ataambiwa: Soma kitabu chako! Nafsi yako inakutosha leo kukuhisabu 17:14 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Isra’ ⮕ (17:14) ayat 14 in Swahili

17:14 Surah Al-Isra’ ayat 14 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 14 - الإسرَاء - Page - Juz 15

﴿ٱقۡرَأۡ كِتَٰبَكَ كَفَىٰ بِنَفۡسِكَ ٱلۡيَوۡمَ عَلَيۡكَ حَسِيبٗا ﴾
[الإسرَاء: 14]

Ataambiwa: Soma kitabu chako! Nafsi yako inakutosha leo kukuhisabu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: اقرأ كتابك كفى بنفسك اليوم عليك حسيبا, باللغة السواحيلية

﴿اقرأ كتابك كفى بنفسك اليوم عليك حسيبا﴾ [الإسرَاء: 14]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Ataambiwa, «Soma kitabu cha matendo yako.» Hapo atasoma, hata kama hakuwa akijua kusoma ulimwenguni, «Leo nafsi yako itakutosheleza kuwa ni yenye kukuhesabia matendo yako, upate kujua malipo yake.» Huu ni miongoni mwa uadilifu na uchungaji haki mkubwa kabisa kwamba mja aambiwe, ‘jihesabu nafsi yako, kwani inatosha kuwa ni yenye kukuhesabu. ’
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek