Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 1 - الكَهف - Page - Juz 15
﴿ٱلۡحَمۡدُ لِلَّهِ ٱلَّذِيٓ أَنزَلَ عَلَىٰ عَبۡدِهِ ٱلۡكِتَٰبَ وَلَمۡ يَجۡعَل لَّهُۥ عِوَجَاۜ ﴾
[الكَهف: 1]
﴿الحمد لله الذي أنـزل على عبده الكتاب ولم يجعل له عوجا﴾ [الكَهف: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, kwa kuwa Ana sifa ambazo zote ni sifa za ukamilifu na kwa kuwa ana neema zilizo wazi na zilizofichika, za kidini na za kidunia, Ambaye Alifanya wema Akamteremshia mja Wake na Mtume Wake Muhammad, rehema za Mwenyezi Mungu na amani zimshukiye, Qur’ani na Asiifanye iwe na kitu chochote cha kupotoka na haki |