×

Kisha tukawazindua ili tujue ni lipi katika makundi mawili lilio hisabu sawa 18:12 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Kahf ⮕ (18:12) ayat 12 in Swahili

18:12 Surah Al-Kahf ayat 12 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 12 - الكَهف - Page - Juz 15

﴿ثُمَّ بَعَثۡنَٰهُمۡ لِنَعۡلَمَ أَيُّ ٱلۡحِزۡبَيۡنِ أَحۡصَىٰ لِمَا لَبِثُوٓاْ أَمَدٗا ﴾
[الكَهف: 12]

Kisha tukawazindua ili tujue ni lipi katika makundi mawili lilio hisabu sawa muda walio kaa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ثم بعثناهم لنعلم أي الحزبين أحصى لما لبثوا أمدا, باللغة السواحيلية

﴿ثم بعثناهم لنعلم أي الحزبين أحصى لما لبثوا أمدا﴾ [الكَهف: 12]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Kisha tukawaamsha kutoka kwenye usingizi wao ili tuwaonyeshe watu tuliyoyajua hapo kale ipate kupambanuka ni lipi kati ya makundi mawili, yanayobishana juu ya kipindi cha kukaa kwao, limedhibiti zaidi katika kuhesabu: je, walikaa siku moja au mbili au walikaa muda mrefu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek