Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 33 - الكَهف - Page - Juz 15
﴿كِلۡتَا ٱلۡجَنَّتَيۡنِ ءَاتَتۡ أُكُلَهَا وَلَمۡ تَظۡلِم مِّنۡهُ شَيۡـٔٗاۚ وَفَجَّرۡنَا خِلَٰلَهُمَا نَهَرٗا ﴾
[الكَهف: 33]
﴿كلتا الجنتين آتت أكلها ولم تظلم منه شيئا وفجرنا خلالهما نهرا﴾ [الكَهف: 33]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kila mojawapo ya yale mashamba mawili lilikuwa limetoa matunda yake na halikupunguza kitu katika utoaji wake, na tulipasua mto baina yao ili kuyanosheza kwa usahali na upesi |