Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 60 - الكَهف - Page - Juz 15
﴿وَإِذۡ قَالَ مُوسَىٰ لِفَتَىٰهُ لَآ أَبۡرَحُ حَتَّىٰٓ أَبۡلُغَ مَجۡمَعَ ٱلۡبَحۡرَيۡنِ أَوۡ أَمۡضِيَ حُقُبٗا ﴾
[الكَهف: 60]
﴿وإذ قال موسى لفتاه لا أبرح حتى أبلغ مجمع البحرين أو أمضي﴾ [الكَهف: 60]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kumbuka pindi Mūsā alipomwambia mtumishi wake, Yūsha' bin Nūn, «Sitaacha kuendelea kutembea mpaka nifike kwenye makutaniko ya bahari mbili au niende kipindi kirefu mpaka nifike kwa mja mwema nipate kujifunza kwake elimu nisiokuwa nayo.» |