Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 66 - الكَهف - Page - Juz 15
﴿قَالَ لَهُۥ مُوسَىٰ هَلۡ أَتَّبِعُكَ عَلَىٰٓ أَن تُعَلِّمَنِ مِمَّا عُلِّمۡتَ رُشۡدٗا ﴾
[الكَهف: 66]
﴿قال له موسى هل أتبعك على أن تعلمن مما علمت رشدا﴾ [الكَهف: 66]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mūsā akamsalimia na akamwambia, «Je, utaniruhusu nikufuate, unifundishe elimu ambayo Mwenyezi Mungu Amekufudisha kadiri ya mimi kujiongoza nayo na kunufaika |