×

Akasema: Basi ukinifuata usiniulize kitu mpaka mimi nianze kukutajia 18:70 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Kahf ⮕ (18:70) ayat 70 in Swahili

18:70 Surah Al-Kahf ayat 70 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 70 - الكَهف - Page - Juz 15

﴿قَالَ فَإِنِ ٱتَّبَعۡتَنِي فَلَا تَسۡـَٔلۡنِي عَن شَيۡءٍ حَتَّىٰٓ أُحۡدِثَ لَكَ مِنۡهُ ذِكۡرٗا ﴾
[الكَهف: 70]

Akasema: Basi ukinifuata usiniulize kitu mpaka mimi nianze kukutajia

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال فإن اتبعتني فلا تسألني عن شيء حتى أحدث لك منه ذكرا, باللغة السواحيلية

﴿قال فإن اتبعتني فلا تسألني عن شيء حتى أحدث لك منه ذكرا﴾ [الكَهف: 70]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Al-Khiḍr akakubali na akamwambia, «Ukifuatana na mimi usiniulize juu ya chochote usichokikubali mpaka nikupe maelezo yake yaliyofichika kwako bila ya wewe kuuliza.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek