×

Akasema: Inshaallah, Mwenyezi Mungu akipenda, utaniona mvumilivu, wala sitoasi amri yako 18:69 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Kahf ⮕ (18:69) ayat 69 in Swahili

18:69 Surah Al-Kahf ayat 69 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 69 - الكَهف - Page - Juz 15

﴿قَالَ سَتَجِدُنِيٓ إِن شَآءَ ٱللَّهُ صَابِرٗا وَلَآ أَعۡصِي لَكَ أَمۡرٗا ﴾
[الكَهف: 69]

Akasema: Inshaallah, Mwenyezi Mungu akipenda, utaniona mvumilivu, wala sitoasi amri yako

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال ستجدني إن شاء الله صابرا ولا أعصي لك أمرا, باللغة السواحيلية

﴿قال ستجدني إن شاء الله صابرا ولا أعصي لك أمرا﴾ [الكَهف: 69]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mūsā akamwambia, «Utanikuta, Mwenyezi Mungu Akitaka, ni mwenye kuvumilia kwa nitakayoyaona kwao, na sitaenda kinyume na amri yako yoyote utakayoniamrisha
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek