Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 2 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿ذِكۡرُ رَحۡمَتِ رَبِّكَ عَبۡدَهُۥ زَكَرِيَّآ ﴾
[مَريَم: 2]
﴿ذكر رحمة ربك عبده زكريا﴾ [مَريَم: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Huu ni utajo wa rehema ya Mola wako kwa mja wake Zakariyyā. Tutakupasha habari yake , kwani pana mazingatio ndani yake kwa wenye kuzingatia |