Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 3 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿إِذۡ نَادَىٰ رَبَّهُۥ نِدَآءً خَفِيّٗا ﴾
[مَريَم: 3]
﴿إذ نادى ربه نداء خفيا﴾ [مَريَم: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Pindi alipomuomba Mola wake kwa siri, ili yawe ni maombi makamilifu zaidi na yenye kutimia katika kumtakasia Mwenyezi Mungu na yawe ni yenye matarajio zaidi ya kujibiwa |