Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 51 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿وَٱذۡكُرۡ فِي ٱلۡكِتَٰبِ مُوسَىٰٓۚ إِنَّهُۥ كَانَ مُخۡلَصٗا وَكَانَ رَسُولٗا نَّبِيّٗا ﴾
[مَريَم: 51]
﴿واذكر في الكتاب موسى إنه كان مخلصا وكان رسولا نبيا﴾ [مَريَم: 51]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na utaje katika Qur’ani, ewe Mtume, kisa cha Mūsā, amani imshukiye. Kwa hakika, yeye alikuwa ni mteule aliyesafishwa, na alikuwa ni Mtume na ni Nabii miongoni mwa Mitume waliokuwa na uthabiti |