Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 50 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿وَوَهَبۡنَا لَهُم مِّن رَّحۡمَتِنَا وَجَعَلۡنَا لَهُمۡ لِسَانَ صِدۡقٍ عَلِيّٗا ﴾
[مَريَم: 50]
﴿ووهبنا لهم من رحمتنا وجعلنا لهم لسان صدق عليا﴾ [مَريَم: 50]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tukawatunukia wao wote rehema zetu zikiwa ni nyongeza zisizohesabika, na tukawajaalia watajike vizuri na wasifiwe kwa sifa njema zenye kubaki kwa watu |