Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 52 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿وَنَٰدَيۡنَٰهُ مِن جَانِبِ ٱلطُّورِ ٱلۡأَيۡمَنِ وَقَرَّبۡنَٰهُ نَجِيّٗا ﴾
[مَريَم: 52]
﴿وناديناه من جانب الطور الأيمن وقربناه نجيا﴾ [مَريَم: 52]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tulimuita upande wa jabali la Ṭūr Sīnā’ kuliani kwake (Mūsā), na tukamleta karibu na tukamtukuza kwa kusema na yeye. Katika hii pana kuthibitisha sifa ya kusema kwa Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, kama inavyonasibiana na utukufu Wake na ukamilifu Wake |