Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 74 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿وَكَمۡ أَهۡلَكۡنَا قَبۡلَهُم مِّن قَرۡنٍ هُمۡ أَحۡسَنُ أَثَٰثٗا وَرِءۡيٗا ﴾
[مَريَم: 74]
﴿وكم أهلكنا قبلهم من قرن هم أحسن أثاثا ورئيا﴾ [مَريَم: 74]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ni mara nyingi tumewaangamiza ummah kabla ya hawa watu wako, ewe Mtume, waliokuwa na vitu vingi kuliko walivyokuwa navyo watu wako na mandhari ya kupendeza zaidi |