×

Hao ni watu walio kwisha pita. Wao watapata waliyo yachuma, na nyinyi 2:141 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:141) ayat 141 in Swahili

2:141 Surah Al-Baqarah ayat 141 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 141 - البَقَرَة - Page - Juz 1

﴿تِلۡكَ أُمَّةٞ قَدۡ خَلَتۡۖ لَهَا مَا كَسَبَتۡ وَلَكُم مَّا كَسَبۡتُمۡۖ وَلَا تُسۡـَٔلُونَ عَمَّا كَانُواْ يَعۡمَلُونَ ﴾
[البَقَرَة: 141]

Hao ni watu walio kwisha pita. Wao watapata waliyo yachuma, na nyinyi mt apata mliyo yachuma, wala hamtaulizwa nyinyi yale waliyo kuwa wakifanya wao

❮ Previous Next ❯

ترجمة: تلك أمة قد خلت لها ما كسبت ولكم ما كسبتم ولا تسألون, باللغة السواحيلية

﴿تلك أمة قد خلت لها ما كسبت ولكم ما كسبتم ولا تسألون﴾ [البَقَرَة: 141]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hao ni ummah waliopita miongoni mwa wale waliowatangulia nyinyi. Wao wana amali zao, na nyinyi muna amali zenu. Wala nyinyi hamtaulizwa kuhusu amali zao. Na wao hawataulizwa kuhusu amali zenu. Katika aya hii pana kukata njia ya kujifungamanisha na viumbe kwa kujiamabatisha nao, kutoghurika kwa kunasibiana na wao, kwa kuwa linalozingatiwa ni kumuamini Mwenyezi Mungu na kumuabudu Peke Yake na kuwafuata Mitume Wake, na kwamba mwenye kumkanusha Mtume yoyote katika wao, huwa amewakanusha Mitume wote
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek