Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 152 - البَقَرَة - Page - Juz 2
﴿فَٱذۡكُرُونِيٓ أَذۡكُرۡكُمۡ وَٱشۡكُرُواْ لِي وَلَا تَكۡفُرُونِ ﴾
[البَقَرَة: 152]
﴿فاذكروني أذكركم واشكروا لي ولا تكفرون﴾ [البَقَرَة: 152]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Aliyetukuka Amewaamrisha Waumini wamtaje Yeye na Akatoa ahadi kwa hilo malipo bora zaidi, nayo ni kumsifu yule anayemtaja Yeye mbele ya viumbe walioko juu. Pia Amewaamrisha Waumini wamshukuru Yeye Peke Yake kwa maneno na vitendo na wasizikanushe neema Zake juu yao |