Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 252 - البَقَرَة - Page - Juz 2
﴿تِلۡكَ ءَايَٰتُ ٱللَّهِ نَتۡلُوهَا عَلَيۡكَ بِٱلۡحَقِّۚ وَإِنَّكَ لَمِنَ ٱلۡمُرۡسَلِينَ ﴾
[البَقَرَة: 252]
﴿تلك آيات الله نتلوها عليك بالحق وإنك لمن المرسلين﴾ [البَقَرَة: 252]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hizo ni hoja za Mwenyezi Mungu na dalili Zake tunakusimulia wewe, ewe Nabii, kwa kweli, na hakika wewe ni miongoni mwa Mitume walio wakweli |