Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 46 - البَقَرَة - Page - Juz 1
﴿ٱلَّذِينَ يَظُنُّونَ أَنَّهُم مُّلَٰقُواْ رَبِّهِمۡ وَأَنَّهُمۡ إِلَيۡهِ رَٰجِعُونَ ﴾
[البَقَرَة: 46]
﴿الذين يظنون أنهم ملاقو ربهم وأنهم إليه راجعون﴾ [البَقَرَة: 46]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wenye kumcha Mwenyezi Mungu na kutaraji Malipo yaliyoko Kwake, wenye kuamini kwa yakini kuwa wao ni wenye kukutana na Mola wao, Aliyetukuka na kushinda, baada ya kufa, na kuwa wao ni wenye kurejea Kwake Siku ya Kiama kwa kuhesabiwa na kulipwa |