×

Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo 20:12 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ta-Ha ⮕ (20:12) ayat 12 in Swahili

20:12 Surah Ta-Ha ayat 12 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 12 - طه - Page - Juz 16

﴿إِنِّيٓ أَنَا۠ رَبُّكَ فَٱخۡلَعۡ نَعۡلَيۡكَ إِنَّكَ بِٱلۡوَادِ ٱلۡمُقَدَّسِ طُوٗى ﴾
[طه: 12]

Hakika Mimi ndiye Mola wako Mlezi! Basi vua viatu vyako. Kwani upo katika bonde takatifu la T'uwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إني أنا ربك فاخلع نعليك إنك بالواد المقدس طوى, باللغة السواحيلية

﴿إني أنا ربك فاخلع نعليك إنك بالواد المقدس طوى﴾ [طه: 12]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mimi ni Mola wako, vua viatu vyako, wewe sasa uko kwenye bonde la Tuwā nililolipa baraka. Hivyo ni ili ajiandae kusema na Mola wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek