×

Hakika Mimi ndiye Mwenyezi Mungu. Hapana mungu ila Mimi tu. Basi niabudu 20:14 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ta-Ha ⮕ (20:14) ayat 14 in Swahili

20:14 Surah Ta-Ha ayat 14 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 14 - طه - Page - Juz 16

﴿إِنَّنِيٓ أَنَا ٱللَّهُ لَآ إِلَٰهَ إِلَّآ أَنَا۠ فَٱعۡبُدۡنِي وَأَقِمِ ٱلصَّلَوٰةَ لِذِكۡرِيٓ ﴾
[طه: 14]

Hakika Mimi ndiye Mwenyezi Mungu. Hapana mungu ila Mimi tu. Basi niabudu Mimi, na ushike Sala kwa ajili ya kunikumbuka Mimi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إنني أنا الله لا إله إلا أنا فاعبدني وأقم الصلاة لذكري, باللغة السواحيلية

﴿إنني أنا الله لا إله إلا أنا فاعبدني وأقم الصلاة لذكري﴾ [طه: 14]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mimi Ndiye Mwenyezi Mungu, hakuna mwenye kuabudiwa kwa haki isipokuwa mimi, sina mshirika, basi niabudu mimi na usimamishe Swala ili unikumbuke ndani yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek