Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 16 - طه - Page - Juz 16
﴿فَلَا يَصُدَّنَّكَ عَنۡهَا مَن لَّا يُؤۡمِنُ بِهَا وَٱتَّبَعَ هَوَىٰهُ فَتَرۡدَىٰ ﴾
[طه: 16]
﴿فلا يصدنك عنها من لا يؤمن بها واتبع هواه فتردى﴾ [طه: 16]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi asikuepushe, ewe Mūsā, na kukiamini na kujitayarisha nacho, asiyekikubali kuwa kitatukia na asiyetenda ya kumfaa huko na akayafuata matamanio ya nafsi yake na akakikanusha, kwani ukifanya hivyo utaangamia |