Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 5 - طه - Page - Juz 16
﴿ٱلرَّحۡمَٰنُ عَلَى ٱلۡعَرۡشِ ٱسۡتَوَىٰ ﴾
[طه: 5]
﴿الرحمن على العرش استوى﴾ [طه: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwingi wa rehema, juu ya 'Arsh Amelingana, yaani Amekuwa juu na Ameangatika, kulingana kunakonasibiana na utukufu Wake na ukubwa Wake |