Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 68 - طه - Page - Juz 16
﴿قُلۡنَا لَا تَخَفۡ إِنَّكَ أَنتَ ٱلۡأَعۡلَىٰ ﴾
[طه: 68]
﴿قلنا لا تخف إنك أنت الأعلى﴾ [طه: 68]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Akamwambia Mūsā wakati huo, «Usiogope chochote, kwani wewe ndiye uliye juu ya hawa wachawi na uliye juu ya Fir'awn na askari wake, na utawashinda |