Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 69 - طه - Page - Juz 16
﴿وَأَلۡقِ مَا فِي يَمِينِكَ تَلۡقَفۡ مَا صَنَعُوٓاْۖ إِنَّمَا صَنَعُواْ كَيۡدُ سَٰحِرٖۖ وَلَا يُفۡلِحُ ٱلسَّاحِرُ حَيۡثُ أَتَىٰ ﴾
[طه: 69]
﴿وألق ما في يمينك تلقف ما صنعوا إنما صنعوا كيد ساحر ولا﴾ [طه: 69]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na irushe fimbo yako iliyoko kwenye mkono wako wa kulia, itazimeza kamba zao na fimbo zao, kwani walichokifanya mbele yako si chochote isipokuwa ni vitimbi vya mchawi na kiinimacho cha uchawi. Na hafaulu mchawi kwa uchawi wake popote anapokuwa.» |