×

Hayawafikilii mawaidha mapya kutoka kwa Mola wao Mlezi ila huyasikiliza na huku 21:2 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anbiya’ ⮕ (21:2) ayat 2 in Swahili

21:2 Surah Al-Anbiya’ ayat 2 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 2 - الأنبيَاء - Page - Juz 17

﴿مَا يَأۡتِيهِم مِّن ذِكۡرٖ مِّن رَّبِّهِم مُّحۡدَثٍ إِلَّا ٱسۡتَمَعُوهُ وَهُمۡ يَلۡعَبُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 2]

Hayawafikilii mawaidha mapya kutoka kwa Mola wao Mlezi ila huyasikiliza na huku wanafanya mchezo

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ما يأتيهم من ذكر من ربهم محدث إلا استمعوه وهم يلعبون, باللغة السواحيلية

﴿ما يأتيهم من ذكر من ربهم محدث إلا استمعوه وهم يلعبون﴾ [الأنبيَاء: 2]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakuna kitu chochote katika Qur’ani chenye kuteremka, kinachosomwa kwao na chenye kuwakumbusha upya, isipokuwa huwa wakikisikia wakiwa katika hali ya kucheza na kufanya shere
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek