Quran with Swahili translation - Surah Al-Anbiya’ ayat 1 - الأنبيَاء - Page - Juz 17
﴿ٱقۡتَرَبَ لِلنَّاسِ حِسَابُهُمۡ وَهُمۡ فِي غَفۡلَةٖ مُّعۡرِضُونَ ﴾
[الأنبيَاء: 1]
﴿اقترب للناس حسابهم وهم في غفلة معرضون﴾ [الأنبيَاء: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Umekaribia wakati wa kuhesabiwa watu juu ya matendo waliyoyatanguliza, pamoja na hivyo, makafiri wanaishi wakiwa kwenye hali ya kupumbaa, wameghafilika na uhakika huu, wakiwa kwenye hali ya kulipa mgongo onyo hili |