×

Na watangazie watu Hija; watakujia kwa miguu na juu ya kila ngamia 22:27 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-hajj ⮕ (22:27) ayat 27 in Swahili

22:27 Surah Al-hajj ayat 27 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-hajj ayat 27 - الحج - Page - Juz 17

﴿وَأَذِّن فِي ٱلنَّاسِ بِٱلۡحَجِّ يَأۡتُوكَ رِجَالٗا وَعَلَىٰ كُلِّ ضَامِرٖ يَأۡتِينَ مِن كُلِّ فَجٍّ عَمِيقٖ ﴾
[الحج: 27]

Na watangazie watu Hija; watakujia kwa miguu na juu ya kila ngamia aliye konda, wakija kutoka katika kila njia ya mbali

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وأذن في الناس بالحج يأتوك رجالا وعلى كل ضامر يأتين من كل, باللغة السواحيلية

﴿وأذن في الناس بالحج يأتوك رجالا وعلى كل ضامر يأتين من كل﴾ [الحج: 27]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
na uwajulishe watu, ewe Ibrāhīm, uwajibu wa Hija juu yao, watakujia kwa kila namna zao, wakiwa wanatembea kwa miguu na wakiwa wanapanda, miongoni mwa ngamia, kila aliyeambata matumbo kwa kutembea na kufanya kazi na sio kwa udhaifu. Watakuja kutoka njia ya mbali
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek