×

Lakini nyinyi mliwakejeli hata wakakusahaulisheni kunikumbuka, na mlikuwa mkiwacheka 23:110 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Mu’minun ⮕ (23:110) ayat 110 in Swahili

23:110 Surah Al-Mu’minun ayat 110 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 110 - المؤمنُون - Page - Juz 18

﴿فَٱتَّخَذۡتُمُوهُمۡ سِخۡرِيًّا حَتَّىٰٓ أَنسَوۡكُمۡ ذِكۡرِي وَكُنتُم مِّنۡهُمۡ تَضۡحَكُونَ ﴾
[المؤمنُون: 110]

Lakini nyinyi mliwakejeli hata wakakusahaulisheni kunikumbuka, na mlikuwa mkiwacheka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فاتخذتموهم سخريا حتى أنسوكم ذكري وكنتم منهم تضحكون, باللغة السواحيلية

﴿فاتخذتموهم سخريا حتى أنسوكم ذكري وكنتم منهم تضحكون﴾ [المؤمنُون: 110]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Mkajishughulisha kuwacheza shere, mpaka mkasahau kumtaja Mwenyezi Mungu na mkasalia kwenye ukanushaji wenu, na kwa kweli mlikuwa mkiwacheka kwa shere na dharau
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek