Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 26 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿قَالَ رَبِّ ٱنصُرۡنِي بِمَا كَذَّبُونِ ﴾
[المؤمنُون: 26]
﴿قال رب انصرني بما كذبون﴾ [المؤمنُون: 26]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Nūḥ akasema, «Mola wangu! Niokoe na watu wangu kwa sababu ya kunikanusha mimi kwa yale niliyowafikishia ya ujumbe wako.» |