Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 69 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿أَمۡ لَمۡ يَعۡرِفُواْ رَسُولَهُمۡ فَهُمۡ لَهُۥ مُنكِرُونَ ﴾
[المؤمنُون: 69]
﴿أم لم يعرفوا رسولهم فهم له منكرون﴾ [المؤمنُون: 69]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Au limewazuia wao kuifuata haki kwa kuwa Mtume wao, Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, hajulikani kwao na kwa hivyo wanamkataa |