Quran with Swahili translation - Surah An-Nur ayat 46 - النور - Page - Juz 18
﴿لَّقَدۡ أَنزَلۡنَآ ءَايَٰتٖ مُّبَيِّنَٰتٖۚ وَٱللَّهُ يَهۡدِي مَن يَشَآءُ إِلَىٰ صِرَٰطٖ مُّسۡتَقِيمٖ ﴾
[النور: 46]
﴿لقد أنـزلنا آيات مبينات والله يهدي من يشاء إلى صراط مستقيم﴾ [النور: 46]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwa hakika tumeteremsha katika Qur’ani vitambulisho vilivyo waziwazi venye kuongoza kwenye haki. Na Mwenyezi Mungu Anamuongoza na kumuelekeza Anayemtaka katika waja wake kwenye njia iliyolingana sawa, nayo ni Uislamu |