Quran with Swahili translation - Surah An-Nur ayat 7 - النور - Page - Juz 18
﴿وَٱلۡخَٰمِسَةُ أَنَّ لَعۡنَتَ ٱللَّهِ عَلَيۡهِ إِن كَانَ مِنَ ٱلۡكَٰذِبِينَ ﴾
[النور: 7]
﴿والخامسة أن لعنة الله عليه إن كان من الكاذبين﴾ [النور: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na aongeze kwenye ushahidi wa tano kujiapiza nafsi yake kuwa inastahili kupata laana ya Mwenyezi Mungu iwapo yeye ni mrongo katika maneno yake hayo |