Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 10 - الفُرقَان - Page - Juz 18
﴿تَبَارَكَ ٱلَّذِيٓ إِن شَآءَ جَعَلَ لَكَ خَيۡرٗا مِّن ذَٰلِكَ جَنَّٰتٖ تَجۡرِي مِن تَحۡتِهَا ٱلۡأَنۡهَٰرُ وَيَجۡعَل لَّكَ قُصُورَۢا ﴾
[الفُرقَان: 10]
﴿تبارك الذي إن شاء جعل لك خيرا من ذلك جنات تجري من﴾ [الفُرقَان: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ni kubwa mno baraka za Mwenyezi Mungu, na ni mengi sana mema Yake, Ambaye Akitaka Atakufanyia mema zaidi kuliko yale waliotamani uwe nayo, Angalikufanyia, ulimwenguni, mashamba mengi ambayo kati yake inapita mito, na Akufanye uwe na majumba makubwa ya fahari |