Quran with Swahili translation - Surah Al-Furqan ayat 11 - الفُرقَان - Page - Juz 18
﴿بَلۡ كَذَّبُواْ بِٱلسَّاعَةِۖ وَأَعۡتَدۡنَا لِمَن كَذَّبَ بِٱلسَّاعَةِ سَعِيرًا ﴾
[الفُرقَان: 11]
﴿بل كذبوا بالساعة وأعتدنا لمن كذب بالساعة سعيرا﴾ [الفُرقَان: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hawakukanusha, kwa kuwa unakula chakula na unaenda sokoni, lakini wameikanusha Siku ya Kiyama na malipo yake yaliyoko. Na tumewatayarishia waliokikanusha Kiyama Moto mkali, watachomwa nao |