Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 185 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالُوٓاْ إِنَّمَآ أَنتَ مِنَ ٱلۡمُسَحَّرِينَ ﴾
[الشعراء: 185]
﴿قالوا إنما أنت من المسحرين﴾ [الشعراء: 185]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakasema, «Ukweli ni kwamba wewe, ewe Shu’ayb, ni miongoni mwa wale waliopatwa na uchawi ukawashika sana ukawaondoa akili zao |