Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 186 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَمَآ أَنتَ إِلَّا بَشَرٞ مِّثۡلُنَا وَإِن نَّظُنُّكَ لَمِنَ ٱلۡكَٰذِبِينَ ﴾
[الشعراء: 186]
﴿وما أنت إلا بشر مثلنا وإن نظنك لمن الكاذبين﴾ [الشعراء: 186]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wewe hukuwa isipokuwa ni mfano wetu sisi katika ubinadamu, basi vipi utahusika peke yako kwa utume bila ya sisi? Na kwa kweli, dhana yetu kubwa kuhusu wewe ni kuwa wewe ni miongoni mwa warongo katika kile unachokidai cha utume |