Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 43 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالَ لَهُم مُّوسَىٰٓ أَلۡقُواْ مَآ أَنتُم مُّلۡقُونَ ﴾
[الشعراء: 43]
﴿قال لهم موسى ألقوا ما أنتم ملقون﴾ [الشعراء: 43]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mūsā akasema kuwaambia wachawi, akitaka kuutangua uchawi wao na kuonyesha kuwa kile alichokileta si uchawi, «Tupeni mtakavyovitupa vya uchawi.» |