Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 42 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿قَالَ نَعَمۡ وَإِنَّكُمۡ إِذٗا لَّمِنَ ٱلۡمُقَرَّبِينَ ﴾
[الشعراء: 42]
﴿قال نعم وإنكم إذا لمن المقربين﴾ [الشعراء: 42]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Fir’awn akasema, «Ndio, nyinyi mtapata kwangu malipo mnayoyataka, na nyinyi hapo mtakuwa ni miongoni mwa wenye kusogezwa karibu na mimi.» |