Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 53 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿فَأَرۡسَلَ فِرۡعَوۡنُ فِي ٱلۡمَدَآئِنِ حَٰشِرِينَ ﴾
[الشعراء: 53]
﴿فأرسل فرعون في المدائن حاشرين﴾ [الشعراء: 53]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Fir’awn akawatuma askari wake, alipopata habari kwamba Wana wa Isrāīl wameenda usiku, wakusanye jeshi lake kutoka miji ya utawala wake |