Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 81 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَٱلَّذِي يُمِيتُنِي ثُمَّ يُحۡيِينِ ﴾ 
[الشعراء: 81]
﴿والذي يميتني ثم يحيين﴾ [الشعراء: 81]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Yeye Ndiye Atakayenifisha duniani kwa kuichukua roho yangu, kisha Atanihuisha Siku ya Kiyama, hakuna awezaye hilo isipokuwa Yeye |