Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 94 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿فَكُبۡكِبُواْ فِيهَا هُمۡ وَٱلۡغَاوُۥنَ ﴾
[الشعراء: 94]
﴿فكبكبوا فيها هم والغاوون﴾ [الشعراء: 94]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo watakusanywa na watupwe kwenye Jahanamu kwa vichwa vyao, mara baada ya nyingine mpaka watakapotulia humo: wao, wale waliowapoteza |