Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 79 - النَّمل - Page - Juz 20
﴿فَتَوَكَّلۡ عَلَى ٱللَّهِۖ إِنَّكَ عَلَى ٱلۡحَقِّ ٱلۡمُبِينِ ﴾
[النَّمل: 79]
﴿فتوكل على الله إنك على الحق المبين﴾ [النَّمل: 79]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Jitegemeze, ewe Mtume, katika mambo yako yote kwa Mwenyezi Mungu na uwe na imani Kwake, kwani Yeye ni Mwenye kukutosha. Hakika wewe uko kwenye njia iliyo wazi isiyokuwa na shaka |