Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 9 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿يَٰمُوسَىٰٓ إِنَّهُۥٓ أَنَا ٱللَّهُ ٱلۡعَزِيزُ ٱلۡحَكِيمُ ﴾
[النَّمل: 9]
﴿ياموسى إنه أنا الله العزيز الحكيم﴾ [النَّمل: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Ewe Mūsā! Hakika yangu mimi ni Mwenyezi Mungu ninayestahiki kuabudiwa peke yangu, ni Mshindi Mwenye nguvu wa kuwaadhibu maadui zangu, niliye na hekima katika upelekeshaji wa viumbe vyangu |