Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Ankabut ayat 11 - العَنكبُوت - Page - Juz 20
﴿وَلَيَعۡلَمَنَّ ٱللَّهُ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَلَيَعۡلَمَنَّ ٱلۡمُنَٰفِقِينَ ﴾
[العَنكبُوت: 11]
﴿وليعلمن الله الذين آمنوا وليعلمن المنافقين﴾ [العَنكبُوت: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Atawajua Mwenyezi Mungu, tena atawajua, ujuzi wenye kujitokeza kwa viumbe, wale waliomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na wakazifuata Sheria Zake kivitendo, na Atawajua, tena Atawajua, wanafiki, ili Alipambanue kila kundi na lingine |