Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 108 - آل عِمران - Page - Juz 4
﴿تِلۡكَ ءَايَٰتُ ٱللَّهِ نَتۡلُوهَا عَلَيۡكَ بِٱلۡحَقِّۗ وَمَا ٱللَّهُ يُرِيدُ ظُلۡمٗا لِّلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[آل عِمران: 108]
﴿تلك آيات الله نتلوها عليك بالحق وما الله يريد ظلما للعالمين﴾ [آل عِمران: 108]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hizi ni aya za Mwenyezi Mungu na hoja Zake zenye kung’ara, tunakusomea na kukusimulia, ewe Mtume, kwa ukweli na yakini. Na Mwenyezi Mungu Hakuwa ni mweye kumdhulumu yoyote katika viumbe Wake wala si mwenye kupunguza chochote katika vitendo vyao, kwani Yeye ni Hakimu Mwenye uadilifu Asiyedhulumu |