Quran with Swahili translation - Surah al-‘Imran ayat 109 - آل عِمران - Page - Juz 4
﴿وَلِلَّهِ مَا فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَمَا فِي ٱلۡأَرۡضِۚ وَإِلَى ٱللَّهِ تُرۡجَعُ ٱلۡأُمُورُ ﴾
[آل عِمران: 109]
﴿ولله ما في السموات وما في الأرض وإلى الله ترجع الأمور﴾ [آل عِمران: 109]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ni Vyake, Yeye Mwenyezi Mungu Peke Yake, vyote vilivyo mbinguni na vilivyo ardhini, ni milki Yake Pekee kwa kuviumba na kuvisimamia. Na marejeo ya viumbe wote ni Kwake Yeye Peke Yake, na Atamlipa kila mmoja kwa kadiri anayostahiki |